Mimi Ni Mwenye Dhambi
Mimi ni mwenye dhambi
Mambo yango yote mabaya
Nitafanya nini niwezepata pumziko?
Yesu anaweza
Pokea neno lake
Neno laweza kuvunja
Ngome zote za shetani
Na yate mawazo mabaya
Yatawala maisha yangu
Nitafanya nini niwezepata pumziko?
Yesu anaweza
Pokea neno lake
Neno laweza kuvunja
Ngome zote za shetani
Nimejaribu nimeshindwa
Kuziona tamaa
Nitafanya nini niwezepata pumziko?
Yesu anaweza
Pokea neno lake
Neno laweza kuvunja
Ngome zote za shetani
Home