Ni Mali ya Mfalme
Ni mali ya Mfalme,
Ndimi mwana wake,
Nitakaa mahali pake,
Hapana huzuni,
ni raha mbinguni,
Watu wake wataurithi.
Chorus
Ni mali ya Mfalme,
Kwa upendo wake,
Na hatawaacha wenzake;.
Nitaitwa naye kwa kuishi pake,
Niwe karibu enzi yake.
Ni mali ya Mfalme,
Najua ni wake
Na neema ni ya thamani;
Napata hisani kwenda na imani,
Kimbilio langu ni Yesu.
Ni mali ya Mfalme,
Na ahadi zake,
Atazitimiza kabisa;
Nitakwenda naye mbinguni mwake
Sitaziona shaka kamwe.
Home