Bwana Nipe Imani
Bwana nipe uwezo
Kama Petro Simoni
Nipite juu ya maji
Bwana mpe imani.
Ewe mweuzangu u anajini tembea
Ewe tembea mwenz. ngu tembea
Kweli uLuatembea lakini
bado uazama
NI kwa sababu Imani yangu haba.
Dunia ni bahari
dhambi nazomawinibi
Chunga sana mawimbi
usizame majini. x 2
Ukisbinda shetani,
umeshinda mawinibi Ukilemewa
na cffiambi umezama majini.
Bwana njshjke mkoflo,
bado miini nazama Bwana uniokoe,
jiani yangu haba.
Home