Atakuja, Atakuja

Atakuja, Atakuja,
Vito vikusanywe
Vito vyake vya thamani,
Wapenzi wake.

Kama nyota za mbingu,
Watang'ara kwa Mungu;
Wapenzi ni watoto
Kwa taji yake.

Atachanga, Atachanga,
Vito kwa ufalme;
Vito vyote vya thamani,
Wapenzi wake.

Ni watoto, ni watoto,
Waitwao vito;
Ni vito vya Yesu Kristo,
Wapenzi wake.

Home