Mwokozi Wangu Alinifia

Mwokozi wangu alinifia,
Mbona anipenda?
Kwa Msalaba aliniendea,
Mbona anipenda?

chorus
Mbona anipenda?
Mbona anipenda?
Mbona Mwokozi alijitoa?
Mbona anipenda?

Kwa dhambi zangu akafa mtini,
Mbona anipenda?
Iii nipate kwenda mbinguni,
Mbona anipenda?

Alichukua mahali pangu,
Mbona anipenda?
Akaziondoa dhambi zangu,
Mbona anipenda?

Home





Next song