Huniachi

Umeahidi wewe bwana… huniachi
Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
Wewe ni mungu uliye mwaminifu siku zote
Mimi ninaiweka imani yangu kwako baba

Unalijua jina langu ewe bwana… huniachi
Unatengeneza njia hata mito kule jangwani
Wewe ndiwe alpha na omega… huniachi

Ukamtoa danieli kutoka tundu la simba
Wewe huwainua na wanyonge siku zote…

Home





Next song