Moyo Wangu Sifu Bwana
Moyo wangu, Sifu Bwana, Sifu Bwana
Siku zote, Halleluyah Halleluyah
Imba Imba, Anaweza anaweza
Tumshangilie kwa shangwe kubwa Halleluyah
Ndiye Bwana wa Mabwana
Shangilia ametenda mema
Yesu Bwana, Mfalme wa ajabu
Ameshinda kifo na mauti
Atawale milele amina ah
Home
Next song