BWANA NIPELEKE
Bwana nipeleke
Kule kwa baba
Kule mji wa raha
Mlango ni yesu
Tutaishi naye,
Kule mbinguni.
Oh, oh, haleluya
Oh, oh haleluya
Oh, oh, haleluya
Oh, oh halelulya
Mle ndani ya Yesu
Mna raha ya ajadu,
Isiyo na mwisho,
Kule mbinguni
Yerusalem ya mpya,
Mji wa amani,
Unameremeta,
Unapambwapambwa,
Kwa ajili yangu,
Kweli ni ajabu
Siku inakuja
Ile ya furaha
Tutarukaruka,
Tutachezacheza
Kwenye barabara
Ile ya dhahabu
Home