Namhitaji Yesu

Namhitaji, namhitaji Yesu,
Hakuna rafiki kama Mungu;
Namhitaji, hayo naungama,
Siwezi kuchukua mzigo bila Bwana.

Chorus
Namhitaji, Bwana Yesu,
Namhitaji kila saa;
Namhitaji mwangani
Na hata mawinguffi,
Njiani kila siku, Ee, namhitaji.

Namhitaji, namhitaji Yesu,
Aziongoze hatua zangu;
Namhitaji, adui washindwe,
Kushinda pasipo Yesu siwezi kamwe.

Namhitaji namhitaji Yesu,
Yu Rafiki wa wenye halifu;
Namhitaji, Yesu anitosha,
Yu Mwaminifu na Mwema, hufurahisha

Home





Next song