Walikaa Orofani

Walikaa orofani,
Walikuwa pamoja;
Na aliposhuka Roho,
Aliyeahidiwa.

Chorus
Ee Bwana, utujaze,
Na nguvu, utujaze;
Ee Bwana, utujaze,
Tubatizwe sasa.

Nguvu hizo ziishuka
Kama upepo mkuu,
Ndimi za moto zikaja,
Zikakalia watu.

Baba zetu watlipata
Nguvu hizo za kale
Sisi pia tutapata
Abadi ya milele.

Home





Next song