Ninainua Macho Yangu

Nitainua Macho yangu nitazema milimani

Msada wangu watoka wapi ni najua nikwake bwana

Anilindaye halali Ninajua hasinzii

Nitokapo niingiapo kweli najua
Ninajua yuko nami

Yeye ni bwana wa mabwana

Yeye mfalme wa wafalme

Mshauri wa ajabu

Kimbilio maishani

Home





Next song