I'm Living On The Mountain
Nakaa mlimani, sitakuwa na shaka,
Ninanywa kisimani, kisichokauka;
Chakula changu cha mbinguni
Kimetoka kwa Mungu,
Nakaa humo nchi nzuri.
Home
Next song