Liko Lango Moja Wazi
Liko lango moja wazi
Ni lango la mbinguni
Na wote waingiao
Watapata nafasiiii
Lango ndiye Yesu Bwana
Wote waingie kwake
Lango lango lango lango
La mbinguni
Liwazi
Yesu ndie Lango hili
Hata sasa li wazi
Kwa wa kubwa na wadogo
Tajiri na masking
Lango ndiye Yesu Bwana
Wote waingie kwake
Lango lango lango lango
La mbinguni liwazi
Hili lango ni la raha
Ni lango la rehema
Kila mtu apitae
Hana majonzi tena
Lango ndiye Yesu Bwana
Wote waingie kwake
Lango lango lango lango
La mbinguni liwazi
Tukipita lango hili
Tutatua mizigo
Tulio chukuwa kwanza
Tuta vikwa uzimaa
Lango ndiye Yesu Bwana
Wote waingie kwake
Lango lango lango lango
La mbinguni liwazi
Hima ndugu tuingie
Lango halija fungwa
Likifungwa Mara moja
Halita funguliwa
Lango ndiye Yesu Bwana
Wote waingie kwake
Lango lango lango lango
La mbinguni liwazi
Home