Na watoto wako wamekusanyika,
Mbele zako eh Bwana Mwokozi,
Na watoto wako wamekusanyika,
Mbele zako eh Bwana Mwokozi,
Wanakuabudu Bwana, Wanakuabudu Bwana, Wanakulilia Bwana,
Haleluyah Bwana,
Uwabariki Bwana, Uwainue Bwana, Uwatendee Bwana,
Haleluyah Bwana.