"Nifanye Nini Niokolewe"

"Nifanye nini niokolewe?
Mlinzi akauliza;
Paulo akamjibu akisema,
"Mwamini Yesu Bwana."

chorus
Umwamini Bwana Yesu,
Umwamini Bwana Yesu;
Umwamini Bwana Yesu,
Utaokoka.

Nifanye nini? Usiogope,
Umkimbilie Bwana;
Atakukubali kwa samaha,
Nawe utaokoka.

Damu yake imefaa sana,
Utakaso wa sifa;
Uje kupokea Bwana sasa,
Wokovu utapata.

Home





Next song