Ungeishi kwa Yesu

Ungeishi kwa Yesu,
kuwa mwema sana?
Ungetembea kwa njia
nyembamba?
Mizigo yako yote
umwache kubeba,
Atende apendavyo.

Chorus
Nguvu zake zitakuwezesha,
Damu yake itakusafisha;
Upendo wake utakujaza,
Ni bora atende apendavyo.

Ungempa nafasi
kazini kukwita?
Ungejua raha ya kujitoa?
Ungeokolewa ili uwe imara?
Atende apendavyo.

Ungepata mahali kwa
Ufalme wake?
Ungejaribu na maonji yake?
Ungetenda kazi kwa
utumishi wake?
Atende apendavyo.

Home





Next song