Alinisubiri

Nilikosea kulinda na kutamani,
Na alama ya walimwengu sikufanikiwa.
Walimwengu walinipotosha sikuwa naye,
Ambapo Mwokozi alinitafuta naye.

Alinisubiri
Alinisubiri
Kungoja kwa upole
Alinisubiri

Kamwe sita angalia yapitayo,
Ninarudi kwa Mwokozi, ninarudi bila hofu.
Njia ya maisha yangu atainyosha,
Ninarudi kwa Mwokozi ninarudi bila hofu.

Home





Next song