Kuna Mji Bora
Kuna mji bora ng’ambo ya mto
Umepambwa utukufu
Kwa imani tutaingia kule
Tutammba, hallelujah Ameñi.
Tutaimba hallelujah Ameni
Tutaimba hallelujah Ameni,
Kwa imani tutaingia kule
Tutaimba hallelujah Ameni.
Leo xii mateso kesho xii shangwe
Katika mji wa Bwana
Tutaonana na wenzetu wote
Tutaimba, hallelujah Amen
Wana furaha wale waombao
Wana furaha wale waombao,
Wana furaha wale waombao,
Na Yesu Mwenyewe alisema.
Hallelujah, hallelujah x 3
Na Yesu Mwenyewe alisema.
Wana upendo wale waombao…
Kuna mji bora. .
Home