Nitatembea kwa Imani
Nitatembea, nitaishi kwa Imani
Nitatembea, nitaishi kwa Imani
Nitatembea, nitaishi kwa Imani
Imani kamilifu, hisia ya sita
Yesu ni yule yule jana, leo na milele
Malaika wa Mungu Yu hapa nasisi
Kilio chako, maombi yako ashasikia
Musimamishe kwa imani, hisia ya sita
Yasio onekana, hata hayajasikika
Yasiofikirika kwa wanadamu
Usitegemee hisia zako tano
Musimamishe kwa imani, hisia ya sita
Twapata imani kwa kusikia Neno Lake
Imani pekee yampendeza Mungu
Bwana naomba imani ya kunyakuliwa
Nibadilishwe mwili, nikulaki hewani.
Home