Jina La Bwana
Jina la Bwana,
Jina la Bwana,
Jina la Bwana lisifiwe;
Jina la Bwana,
Jina la Bwana,
Jina la Bwana lisifiwe.
Yesu ni Jina,
Yesu ni Jina,
Yesu ni Jina la Bwana ;
Yesu ni Jina,
Yesu ni Jina,
Yesu ni Jina la Bwana.
Sifa kwa Jina,
Sifa kwa Jina,
Sifa kwa Jina la Bwana ;
Sifa kwa Jina,
Sifa kwa Jina,
Sifa kwa Jina la Bwana.
Alleluia, alleluia, Amen 2x
Home
Next song