Bwana Ni Mchungaji Wangu
Bwana ni mchungaji wangu
Sitapungukiwa kitu
Hunilaza kwenye majani mabichi
Huniongoza kwa maji matulivu
Hakika wema nazo fadhili
Zitanufuata mimi
Nitakaa nyumbani mwa bwana
Siku zote za maisha yangu
Hunuisha nafsi yangu
Huniongoza kwa njia za haki
Nipitapo bondeni mwa mauti
Sitaogopa yeye yunami
Gongo lako na fimbo yako
Vinanifariji mimi
Waandaa meza mbele yangu
Machoni pa watesi wangu
Home